Habari wana JF mi nipo njiani nimekuta ajali ya magari mawili yamegongana katkat ya tanga na kilimanjaro na watu 5 wamefariki NA tukio lingine ABIRIA moja mwanamke amefarki kwnye gari akitokea pande za Arusha au moshi kwenye gari kampuni la Dar express maeneo ya Usagara