Ajali yaua watu watano

kikaragosi

Senior Member
Nov 14, 2010
112
10
Habari wana JF mi nipo njiani nimekuta ajali ya magari mawili yamegongana katkat ya tanga na kilimanjaro na watu 5 wamefariki NA tukio lingine ABIRIA moja mwanamke amefarki kwnye gari akitokea pande za Arusha au moshi kwenye gari kampuni la Dar express maeneo ya Usagara
 
Poleni, je na wenyewe watafungiwa? kama Grazia, Champion, Mohamed na mengine? Haya tungoje tuone!
 
hbu vuta pumzi then toa habari huku ukiwa umetulia mana umechanganya changanya mafile hapo hata hujaeleweka
 
mhh!! jamani ajali zitatumaliza nchi hii.
pole kwa wafiwa na majeruhi wapone haraka.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom