Ambiente Guru
JF-Expert Member
- May 21, 2012
- 2,623
- 1,096
Jiulize tumefikafikaje hapa tulipo?
Kwa nini mwaka 2000 tu hapa hatukuwa na Bodaboda?
Bodaboda ni matokeo,chanzo ni nini?
So sad! kwa nini jamani tunajichukulia sheria mkononi ?
Uwa tunajifanya tuna hasira kali kwa vitu vidogo,natamani siku moja hiyo hasira kali tuitumie kuiondoa serikali inayokubali magari chakavu na pikipiki za chini ya kiwango zinazoua ndugu zetu kila uchao.
Pia ata pesa za umma za Eskrow tungezidai kwa hasira kali
Bring back our tanganyika
Walivojaa wampige mzungu kapiga risasi juu wakasambaa kaita gari nyingine kafaulisha vitu vyake ndani kasepa bodaboda acha tu
So sad! kwa nini jamani tunajichukulia sheria mkononi ?Uwa tunajifanya tuna hasira kali kwa vitu vidogo,natamani siku moja hiyo hasira kali tuitumie kuiondoa serikali inayokubali magari chakavu na pikipiki za chini ya kiwango zinazoua ndugu zetu kila uchao.Pia ata pesa za umma za Eskrow tungezidai kwa hasira kaliBring back our tanganyika
Tanzania bhana, badala ya kuwaua wezi wa Escrow, EPA n.k tunachukua hatua kali kwa matukio ambayo athari zake zinaweza kuwahusu watu 10 tu!
Kwanini wananchi wanajichukulia sheria? pole waliofiwa na kuchomewa gari
Hawakuwemo wezi wa ESCROW?
Daah, VX?!
Ajali imetokea Bunju B na kuua watu watatu papo hapo ambao ni madereva wa bodaboda na VX kuchomwa moto.
Dereva wa VX katoka mzima ila gari lake limechomwa moto na wananchi.
Maiti zimepelekwa Kituo cha Polisi Bunjua A.
Kwa madereva wa bodaboda wala sishangai na nilishaapa kutomsaidia dereva wa bodaboda akipata ajali hata kama anafia mbele yangu namuona
Ajali imetokea Bunju B na kuua watu watatu papo hapo ambao ni madereva wa bodaboda na VX kuchomwa moto.
Dereva wa VX katoka mzima ila gari lake limechomwa moto na wananchi.
Maiti zimepelekwa Kituo cha Polisi Bunjua A.