Ajali mbaya ya kutisha,watu kadhaa wanakusudia kufa majeruh wengi,nawaletea picha na chanzo cha ajar hv punde
asante kwa taarifa ya watu wanaokusudia kufa,,,,ila nasubiri utuletee CHANZO CHA AJARI NIKIONE
Ajali mbaya ya kutisha,watu kadhaa wanakusudia kufa majeruh wengi,nawaletea picha na chanzo cha ajar hv punde
yamepita masaa, hako chanzo cha ajari ulicholeta, picha wala waliokusudia kufa
umenikera sana mkuu............ najua wewe ni mgeni, lakini thamini basi maisha ya wenzako
Ajali mbaya ya kutisha,watu kadhaa wanakusudia kufa majeruh wengi,nawaletea picha na chanzo cha ajar hv punde
Ingekuwa jioni labda ingenikuta natafuna kongoro pale. Lakini asubuhi hii, mkoloni kanikamata makalio hapa.nilikua na wasiwasi na wewe na kanyagio mkuu....
nashukuru umeleta taarifa kamili
Ingekuwa jioni labda ingenikuta natafuna kongoro pale. Lakini asubuhi hii, mkoloni kanikamata makalio hapa.
Deal signed. Ntakutambulisha mwanachama mpya LOLpole sana aisee, mwambie mkoloni aangalie tu, maana vidole vyake virefu sana
Jumamosi tuonane basi tunisia rodi aisee, ngoja nimtafute na G-warawara
Mkuu,
Kuna lori lililosheheni simeti kutoka kiwanda cha Wazo limefeli breki wakati likishuka kilima kutokea kiwandani. Likaja kuparamia daladala zilizokuwa zinapakia Abiria nia panda pale. Likazoa daladala moja mpaka kwenye Duka la Vifaa vya ujenzi na Bar ya KMM. Mpishi aliyekuwa kwenye jiko la bar amefariki papo hapo, na abiria waliokuwa ndani ya gari wako nyang'anyang'a. Juhudi za uokoaji zinaendelea lakini dalili zinaonyesha kutakuwa na vifo vingi sana. Hivi sasa bado kichwa cha lori bado kiko ndani ya duka la Vifaa vya ujenzi baada ya kuufumua ukuta na kuzama ndani.
Mungu atunusuru na haya Majanga.