nkyalomkonza
JF-Expert Member
- Jun 18, 2012
- 1,154
- 443
Daaaaah ajali hizi jamani mungu atunusuru
Samora Badili hiyo avatar maana hata kwenye Misiba wewe unacheka tu.!!!
Daaaaah ajali hizi jamani mungu atunusuru
Magari mengi ni mabovu ambayo hayana hadhi ya kuwa barabarani. Watu hawazijui sheria za barabarani au wanazifahamu lakini hawataki kuzifuata. Polisi wanachangia kwa kiasi kikubwa maana watu hawaogopi kabisa utakuta mtu hana leseni wala hajaingia darasani kujifunza sheria za barabarani lakini naye ni dreva ukimuuliza huogopi kukamatwa? Nakujibu nitatoa 30 elfu kisha polisi anaangalia pembeni...Nchi yetu inatisha sana kila kitu ni hovyo hovyo!!!! Mungu azilaze roho za marehemu mahali pema peponi.
Matatizo ya ubinafsi na unafiki na sera zisizoendelevu ndio yanayo tufikisha hapa.
Wa TZ tunabebana sana kijinga kijinga na hatuna umoja katika kukemea uovu unaosababisha vifo visivyo vya lazima
Sio hivyo Mkuu ila napiga vita utamaduni wa kuridhika na mauaji ya barabarani kwa sababu zile zile , uzembe na uvunjaji sheria. Halafu tunaambiwa ni mapenzi ya Mungu, tunachemka na tutaendelea kufa. Hapo Wazo Hill junction si mara ya kwanza ma lorry yana fail break yakitokea Wazo lakini hakuna hata kibao kimoja kule juu cha kuwaambia madereva slow the freak down! Hakuna. Kituo cha daladala nacho kipo hapo hapo junction. Perilous conditions. Hatutafuti chanzo wala dawa za ajali hizi.una vias wewe.... LOL
Sio hivyo Mkuu ila napiga vita utamaduni wa kuridhika na mauaji ya barabarani kwa sababu zile zile , uzembe na uvunjaji sheria. Halafu tunaambiwa ni mapenzi ya Mungu, tunachemka na tutaendelea kufa. Hapo Wazo Hill junction si mara ya kwanza ma lorry yana fail break yakitokea Wazo lakini hakuna hata kibao kimoja kule juu cha kuwaambia madereva slow the freak down! Hakuna. Kituo cha daladala nacho kipo hapo hapo junction. Perilous conditions. Hatutafuti chanzo wala dawa za ajali hizi.
Najiuliza, watu wamejeruhiwa wengine wamekufa, tunasema "Jina lake libarikiwe," kwa lipi? Kwa hawa aliowanusuru au kwa wale waliokufa? Jina lake libarikiwe kwa lipi, kuua?