Vipi hapo kuhusu foleni, hasa magari yanayoenda mikoani ipoje?
Bahati nzuri si la mafuta
Masela wangechota balaa, halafu chizi ndo angechomoa betri ili kupata cheche za moto....Bahati nzuri si la mafuta
Hilo gari ilkuwa limebeba ng'ombe linapeleka vingunguti, wakati wa kukata kona hapo mataa likaanguka. Ng'ombe wote wamesalimika.

Masela wangechota balaa, halafu chizi ndo angechomoa betri ili kupata cheche za moto....
Baada ya hapo mtandao unapotea........
Vipi hapo kuhusu foleni, hasa magari yanayoenda mikoani ipoje?
Hilo gari ilkuwa limebeba ng'ombe linapeleka vingunguti, wakati wa kukata kona hapo mataa likaanguka. Ng'ombe wote wamesalimika.
Abiria wote wa mikoani wapo salama. Njia yao ni nyeupe foleni ni kama kawaida.