- Thread starter
- #21
Poleni, sijui hiyo foleni yake ikoje sasa.
Usijali! Kwa hali ilivyo hali si mbaya sana maana morogoro road iko salama japo limeangukia upande wa kwenda River side so be hapy !
Poleni, sijui hiyo foleni yake ikoje sasa.
Hakuna anayeliona hili ila tuombe lisitokeeMmejenga power plant katikati ya mji? Kweli mliopo juu ni vilaza. I wonder siku moja likilipuka, sijui hapo ubungo patakuwaje...lakini hakika patachimbika...!
Afadhali ng'ombe wamesalimika watu pia wamenusurika kulishwa vibudu.
magomeni jamani hilo foleni lake vibarua vinakaribia kuota majani.
kuna jam inakaribia kufika kimara wakuu. Huenda ikawa ni hilo suala yaaani najutaaaa kufahamu
Masela wangechota balaa, halafu chizi ndo angechomoa betri ili kupata cheche za moto....
Baada ya hapo mtandao unapotea........
Mmejenga power plant katikati ya mji? Kweli mliopo juu ni vilaza. I wonder siku moja likilipuka, sijui hapo ubungo patakuwaje...lakini hakika patachimbika...!
Bahati nzuri si la mafuta
Mmejenga power plant katikati ya mji? Kweli mliopo juu ni vilaza. I wonder siku moja likilipuka, sijui hapo ubungo patakuwaje...lakini hakika patachimbika...!
2002 songas ililipuka mbona na watu kadhaa walipoteza maisha akiwemo mwl.wangu wa biology
Mie nahisi hata la saba wangeshauri vizuri zaidi. Likibuma pale lazma tutafute mchawi...!kuna Mdau ameanzisha uzi wa darasa la saba kuongoza tanzania yani wabunge na wizara.hii ya power plant kuwa maeneo ya kat kat kama pale ni la saba waloshauri labda.
Mmejenga power plant katikati ya mji? Kweli mliopo juu ni vilaza. I wonder siku moja likilipuka, sijui hapo ubungo patakuwaje...lakini hakika patachimbika...!