Mmejenga power plant katikati ya mji? Kweli mliopo juu ni vilaza. I wonder siku moja likilipuka, sijui hapo ubungo patakuwaje...lakini hakika patachimbika...!
I have been always asking myself hilo swali..
Naomba kutangaza conflict of interest,napata ugali kupitia uhandisi na mambo yahususuyo kada hizo..
NIlisomamaga india wenzetu walijafunza gharama ya maamuzi ya kisiasa na kipuuzi kama hayo kwasababu wana miji inayokua ka uyoga..they have like 150 cities buy average world urban planning standards ya kuhesabu jiji kwa population ya walau watu laki tano.
Ivi hao planning experts na engineers wa wizara na tanesco hawakuona hii squatter city inavokua ka uyoga halafu miaka ya 90s katikati wakajenga gas turbine station katikati ya mji..hesabu ubungo is hardly 10 kms from the city centre..
Mbaya zaidi pembeni wakajenga petrol turbine station kama sikosei miaka ya 2004 au 2005..ilitingisha ikalipuka na moto juu...
Mimi sio mtaalam wa power energy..ila kwa wanaofahamuuu watukokoteolee litres 200,000 za petrol fuel au compressed
gas zikilipuka hio impact ya mlipuko na thermal energy(joto) litakomwagika hapo ni kiasi gani??
Jamani tumefika wakati siasa ziekwe mbali.. wataalam wa wizara na tanesco PLEASE SPEAK YOUR MIND OUT LOUD AND CLEAR...UBUNGO POWER STATION PLUS THE NEWLY BUILT YA KINYEREZI OR ANY POWER PLANT
INAYOJENGWA MJINI SANA NI TICKING TIME BOMB..
..ile station pale ihamishe yale maturbine wakayafunge mbali huko kwenye least population masses..huu ni mwanzo..ipo siku tutaimba nyimbo za maombolezo kwa mwezi mzima..
Yangu mi ni hayoo...