Ni majaribio ya vifaa vya zimamoto vya uwanja wa ndege...Mwenye Habari zaidi atujuze
asanteNi majaribio ya vifaa vya zimamoto vya uwanja wa ndege...
ndege moja ya abiria imepata ajali katika uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere, ambapo watu kadhaa wamejeruhiwa na kukimbizwa hospitali ya Muhimbili kwa matibabu.
Mwenye Habari zaidi atujuze
Ni majaribio ya vifaa vya zimamoto vya uwanja wa ndege...
vitakuwa vindege vya mwanza,arusha kigoma etc...!vibovuuuuuuuuuuuuu
Ni majaribio ya vifaa vya zimamoto vya uwanja wa ndege...
sasa ndiyo waangushe ndege? au ndiyo tuseme ni za kijeshi? kwanini serikali isiwe inatoa taarifa kwa wananchi kama wanafanya majaribio?Ni majaribio ya vifaa vya zimamoto vya uwanja wa ndege...
Yah man, na hii ni kawaida sana kila mwaka. Hapa huwa wanatest Ambulance na fire rescue response endapo inatokea ajali.
Satan is Playing Trick on you the Boss! Hapo mywife wako hayupo?
hata mimi nashindwa kuelewa, wizi mtupu wa 'sirikali' ya ccmDuh Afadhali. But naomba niulize. kwanini wanavitest wakati matukia ya ajali za moto tunayo Daily Mbona visiwe vinapelekwa huko practically? au hivyo ni kwaajili ya aiport tu?
Ha ha ha ha jamani Geoff, thats not fair vingekuwa vibovu visingeruhusiwa kuruka.vitakuwa vindege vya mwanza,arusha kigoma etc...!vibovuuuuuuuuuuuuu
Futa kauli yako!