Ajali ya ndege?

dorin

JF-Expert Member
Jan 29, 2010
267
285
ndege moja ya abiria imepata ajali katika uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere, ambapo watu kadhaa wamejeruhiwa na kukimbizwa hospitali ya Muhimbili kwa matibabu.

Mwenye Habari zaidi atujuze
 
...oh my God, nimeruka hapo asubuhi ya leo kuelekea nchi za watu.

Mungu awasaidie majeruhi wapone haraka.
 
vitakuwa vindege vya mwanza,arusha kigoma etc...!vibovuuuuuuuuuuuuu
 
Mimi nimetokea hapo airport muda kitambo ajali ilikuwa haijatokea. Mpashaji tupe details ni ndege ya kampuni gani?
 
ndege moja ya abiria imepata ajali katika uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere, ambapo watu kadhaa wamejeruhiwa na kukimbizwa hospitali ya Muhimbili kwa matibabu.

Mwenye Habari zaidi atujuze

dorin maambo?
mchumba ulipata??
 
Ni majaribio ya vifaa vya zimamoto vya uwanja wa ndege...
sasa ndiyo waangushe ndege? au ndiyo tuseme ni za kijeshi? kwanini serikali isiwe inatoa taarifa kwa wananchi kama wanafanya majaribio?
 
Yah man, na hii ni kawaida sana kila mwaka. Hapa huwa wanatest Ambulance na fire rescue response endapo inatokea ajali.

Duh Afadhali. But naomba niulize. kwanini wanavitest wakati matukia ya ajali za moto tunayo Daily Mbona visiwe vinapelekwa huko practically? au hivyo ni kwaajili ya aiport tu?
 
Satan is Playing Trick on you the Boss! Hapo mywife wako hayupo?

naona humujf tumevamiwa na walokole..
swali simple,uliweka tangazo la kutafuta mchumba.
je umefanikiwa?
alie kwambia mi nataka nikuchumbie nani??????
 
Duh Afadhali. But naomba niulize. kwanini wanavitest wakati matukia ya ajali za moto tunayo Daily Mbona visiwe vinapelekwa huko practically? au hivyo ni kwaajili ya aiport tu?
hata mimi nashindwa kuelewa, wizi mtupu wa 'sirikali' ya ccm
 
Futa kauli yako!

Ndugu Magehema, Geoff hana aja ya kufuta kauli yake, ndio ukweli wenyewe unless kama hujasafiri nazo. Ungeweza tu kumshauri apunguze ukali wa maneno lakini bila kufifisha ujumbe.

Ukweli utabaki kuwa ukweli....!!
 
Back
Top Bottom