Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un. Tuko msibani, and we are already starting the blame game na kumtafuta mchawi. Maybe somebody should alert Zitto kwamba there is fatigue in politics as well. Sasa, folks are blaming Vodacom as if they are the main regulators hapo Bandarini. Sasa Zitto is calling on people kujiuzulu now, while hali bado ni tete. Huu ni unafiki, some of us tulikuwa tunapiga gambe jana watching Aseno wakishinda kwa mbinde pia tujisikieje? Yaani kama kumetokea ajali Zenji, everything else has to stop?
On that note, 3 days are too damn much. We don't mourn the lost ones by just staying at home.
On Vodacom and whoever chose to have fun yesterday, it was a teaching moment--but not as tragic as folks are trying to make it. As C.J Mung'ong'o once put it "matumizi kibaya ya kitu chema hayafanyi kitu hicho kuwa kibaya pia".
kazi mnayoiweza! Hata wakati huu wa majonzi unawaza kutia moto! how old are you?Office za Vodacom zote zenjii tutazitia moto au waje kuondoa office zao,na hao ma miss tunawajua wakikanyaga zanzibar tuta wapoteza wote.
Mashirika yote ya serikali na yasio kiserikali walitakiwa kusimamisha kazi zao zote,kwa vile nchi iekubwa na janga hili la msiba mkubwa,pia rais alitangaza kuwa tuko msibani,na mashirika hayo kupuuza kauli hizo.
Serikali tunataka wamiliki wa mashirika haya wapokonywe vibali,na kutakiwa kuomba upya huku wakiwaomba msamaha watanzania na wazanzibari.
usiwatetee tbc1 chombo kile tangua aondoke Tido kimechoka! hata kama wao hawakuwa na waandishi wa habari kwa wakatu ule, wangejiunga na ZBC(liyokuwa ikijulikana kama TVZ) Kwani ZBC walikuwa live kwenye site muda wote, kuliko kuendelea kupiga mipasho wakati watz wenzetu wanateketea, au kwa sababu wale ni wazanzibari? muungano uko wapi?UJAMAA NA UPEBARI ni vitu viwili tofauti, siasa za ujamaa zainajali UTU.....tumeingia wenyewe kwenye ubepari ambapo faida ina nafasi kubwa kuliko utu twalaumu....VODACOM...si wa kulaumiwa pekee,wadhamini wengine walikuwepo kama ...
NAO WANA NAFASI, WASHIRIKI NYIE MWAITA WALIMBWENDE.....WAPO WALIOTOA GARI LA MILIONI 80.....WHY VODA PEKEE?
TBC.... kama chombo cha habari lazima kikusanye taarifa iliyokamilika na kuirusha hewani,hawawezi kurusha TETESI NA UVUMI....when we judge them we have to be fair enough