Ajali ya Meli: Serikali yetu na utata wa idadi ya abiria walioangamia

ntamaholo

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
12,906
6,909

kuadi mkubwa wa serikali ya umoja wa CUF na CCM. umepikwa unataka kuwapika na wengine? mpaka jana saa mbili usiku, miili 102 iliokolewa na watu wapatao 550s wameokolewa. achilia mbali waliokufa. kwa taarifa za awali, zilizotolewa na abiria waliokuwa wakisafiri katika meli hiyo ikiendelea kuzam, wanansema meli ilibeba watu zaidi 1,500 wakati uwezo wake ni 500 tu.
 
Too sad, hatujui hao wengine waliopotea kabisa.
Tunaongopewa waliokuwepo melini ni 610(!?)
 
Inawezekana hii meli ilikuwa na watu 2000? Wauza tikei wangetoa ushirikiano labda tutajua idadi halisi ya ndugu zetu ambao hajulikani walipo. Hata wachakachuaji wa magetini waombwe kutoa taarifa bila wasiwasi wa kujikuta matatani na vyombo vya dola.
 
Mungu ni mwema kikubwa tuwaombee na uwajibikaji kwa wahusika u take place maana cjui.... Itakuwaje
 
Mungu uwarehemu, waliotangulia mbele za haki kwenye ajali hii, na uwapatie nafuu ya haraka kwa waliojeruhiwa , uwajaalie hekima na busara watanzania waweze kuwatambua wanao wasababishia haya haya majanga na wawaondoe kwenye hizo nafasi! Amen!
 
kwani kutoka tanga mpaka nungwi karibu ? Au walikuwa wanaenda kuzitupa ndo ndo zimewashindia tanga?
 
kwani kutoka tanga mpaka nungwi karibu ? Au walikuwa wanaenda kuzitupa ndo ndo zimewashindia tanga?
kuna thread ulijinadi kuwa wewe ni mtu wa pwani halafu hujui sababu ya maiti kukutwa Tanga??
ukiwa muongo usiwe msahaulifu bana!!
 
kama kawa, tutaambiwa wamekufa mia mbili - tafsiri ni kutothaminisha kila aliyekufa

I am mhoping this time watatoa figure ya ukweli
 
kwani kutoka tanga mpaka nungwi karibu ? Au walikuwa wanaenda kuzitupa ndo ndo zimewashindia tanga?
kuna ndege ilianguka pwani ya Comoro lakini maiti zilipatikana Mafia na zingine Mtwara kama sikosei
 
maiti 30 zimepatikana tanga na serikali imetangaza watapg picha za maiti zitakazopatikana,then watazikwa huko huko watakapo onekana kuhofia miili kuharibika

Sio kweli, RPC Tanga amesema asubuhi hii kuwa hajapata maiti wala aliyesalimika. Toa confirmed news usilete uana kijiji hapa
 
<img src="http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2011/09/11/article-2035825-0DCFF03C00000578-269_634x356.jpg" border="0" alt="" />
hilo godoro likajaa maji imekula kwao.lakini hii picha itakuwa ya mv.bukoba.zenji mbona naskia ilikuwa usiku wa manane?au ndo wamekali godoro hadi saa sita mchana?.jamaa atakufa na friji yake kwapani.mia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…