Ajali ya Meli: Serikali yetu na utata wa idadi ya abiria walioangamia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ajali ya Meli: Serikali yetu na utata wa idadi ya abiria walioangamia

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by ntamaholo, Sep 11, 2011.

 1. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #1
  Sep 11, 2011
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 9,574
  Likes Received: 1,640
  Trophy Points: 280

  kuadi mkubwa wa serikali ya umoja wa CUF na CCM. umepikwa unataka kuwapika na wengine? mpaka jana saa mbili usiku, miili 102 iliokolewa na watu wapatao 550s wameokolewa. achilia mbali waliokufa. kwa taarifa za awali, zilizotolewa na abiria waliokuwa wakisafiri katika meli hiyo ikiendelea kuzam, wanansema meli ilibeba watu zaidi 1,500 wakati uwezo wake ni 500 tu.
   
 2. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #2
  Sep 11, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 3,948
  Likes Received: 1,641
  Trophy Points: 280
  Too sad, hatujui hao wengine waliopotea kabisa.
  Tunaongopewa waliokuwepo melini ni 610(!?)
   
 3. kipindupindu

  kipindupindu JF-Expert Member

  #3
  Sep 11, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 1,051
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  weka picha!toa source ya kueleweka
   
 4. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #4
  Sep 11, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,293
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Inasikitisha sanaaa.
   
 5. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #5
  Sep 11, 2011
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,259
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Inawezekana hii meli ilikuwa na watu 2000? Wauza tikei wangetoa ushirikiano labda tutajua idadi halisi ya ndugu zetu ambao hajulikani walipo. Hata wachakachuaji wa magetini waombwe kutoa taarifa bila wasiwasi wa kujikuta matatani na vyombo vya dola.
   
 6. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #6
  Sep 11, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,248
  Likes Received: 243
  Trophy Points: 160
  Inasikitisha saana..... Jamani!!
   
 7. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #7
  Sep 11, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,307
  Likes Received: 4,751
  Trophy Points: 280
  weka picha tuone.dah!sijui niendelee kula samaki!!??
   
 8. W

  Wamochwali Member

  #8
  Sep 11, 2011
  Joined: Sep 11, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mungu ni mwema kikubwa tuwaombee na uwajibikaji kwa wahusika u take place maana cjui.... Itakuwaje
   
 9. Mr. Mwalu

  Mr. Mwalu JF-Expert Member

  #9
  Sep 11, 2011
  Joined: Feb 4, 2010
  Messages: 700
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 60
  Mungu uwarehemu, waliotangulia mbele za haki kwenye ajali hii, na uwapatie nafuu ya haraka kwa waliojeruhiwa , uwajaalie hekima na busara watanzania waweze kuwatambua wanao wasababishia haya haya majanga na wawaondoe kwenye hizo nafasi! Amen!
   
 10. KALYOVATIPI

  KALYOVATIPI JF-Expert Member

  #10
  Sep 11, 2011
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,419
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  kwani kutoka tanga mpaka nungwi karibu ? Au walikuwa wanaenda kuzitupa ndo ndo zimewashindia tanga?
   
 11. kipindupindu

  kipindupindu JF-Expert Member

  #11
  Sep 11, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 1,051
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  kuna thread ulijinadi kuwa wewe ni mtu wa pwani halafu hujui sababu ya maiti kukutwa Tanga??
  ukiwa muongo usiwe msahaulifu bana!!
   
 12. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #12
  Sep 11, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,838
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 145
  kama kawa, tutaambiwa wamekufa mia mbili - tafsiri ni kutothaminisha kila aliyekufa

  I am mhoping this time watatoa figure ya ukweli
   
 13. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #13
  Sep 11, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,623
  Likes Received: 375
  Trophy Points: 180
  tuko pamoja nao ndugu wa marehemu pia tunatoa pole kwa wafiwa wote
   
 14. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #14
  Sep 11, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 23,993
  Likes Received: 2,715
  Trophy Points: 280
  kuna ndege ilianguka pwani ya Comoro lakini maiti zilipatikana Mafia na zingine Mtwara kama sikosei
   
 15. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #15
  Sep 12, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 8,125
  Likes Received: 2,112
  Trophy Points: 280
  Duh! Hii kali!
   
 16. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #16
  Sep 12, 2011
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,018
  Likes Received: 3,612
  Trophy Points: 280
  Sio kweli, RPC Tanga amesema asubuhi hii kuwa hajapata maiti wala aliyesalimika. Toa confirmed news usilete uana kijiji hapa
   
 17. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #17
  Sep 12, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 150
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 18. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #18
  Sep 12, 2011
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 9,574
  Likes Received: 1,640
  Trophy Points: 280

  duh. Inasikitisha sana. So huyo msela anataka kuokoa fridge?
   
 19. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #19
  Sep 12, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 28,231
  Likes Received: 3,155
  Trophy Points: 280
  serikali yenyewe unaambiwa aijapiga picha unataka picha azitoleee kinondoni makaburini mpwa??
  src mjulishe unaitaji ipi ya tomato,chilli ,au mixer??
   
 20. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #20
  Sep 12, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,307
  Likes Received: 4,751
  Trophy Points: 280
  hilo godoro likajaa maji imekula kwao.lakini hii picha itakuwa ya mv.bukoba.zenji mbona naskia ilikuwa usiku wa manane?au ndo wamekali godoro hadi saa sita mchana?.jamaa atakufa na friji yake kwapani.mia
   
Loading...