Ajali Ubungo Riverside

Mwenyezi Mungu mwingi wa Rehema awarehemu hao ndugu zetu walipoteza maisha. Wapumzike kwa amani, Amen.
 
nimekuta umati mkubwa sana nadhani wakzi wengi wa ubungo walikua eneo latukio vyombo vya habari vitatujuza lakini hali ahikua nzuri vile
 
Nchi hii kwa ajari imekuwa mpaka kero yaani kuwapoteza ndugu na jamaa kwa ajari kwa sasa ni kama jambo la kawaida sana nchi sijui tatizo ni nini hasa au ndo tunatolewa kafara mambo yatulie serikalini. EE Mungu warehemu uliowaita kwako ktk ajari hii
 
Jaman mnatuchanganya, mtu mwenye ukweli wa data atumwagie...poleni sanaa wafiwa na majeruhi muugue pole. R.I.P marehemu
 
Nimepita hapo mahali hivi punde. idadi ya marehemu haiwezi kufikia hiyo idadi ulitoitaja Mkuu
Waliokufa ni wawili tu, mama mmoja alikuwa kwenye gari (amekatika shingo) na machinga aliyekuwa anauza CD. Waliojeruhiwa ni kama wanne hivi
 
lori hilo lilikuwa na abiria hivyo lilipoacha njia likapinduka au lilipoacha njia likajimuvuzisha kwa wabongo waliokuwa katika mishe zao? hebu nijue hapo wadau, coz nataka kufanya comment na iziraeli apunguze kidogo coz mwaka mpya umekaribia.

Acha ujınga wewe usıchukulıe maskhara wakatı bınadamu wenzetu wametutoka!
utalıaje kama ukakuta ndg yako nae alıkuwemo kwenye hıyo ajarı na amekutoka?
 
Tulikuwepo mahali ajali ilipotokea,Kwa kweli hii ajali ilikuwa mbaya sana.leo ni mwenyezi Mungu tu aliyetuokoa,nawaombea waliopoteza maisha na Mungu awape faraja ndugu jamaa na marafiki.sheria za usalama barabarani hazifuatwi,watanzania hatujifunzi ........! kilichotukinga ni gari iliyokatiza mbele yetu sisi tukitokea barabara ya Buguruni,hata rafiki yangu alipaniki na kuachia usukani

Poleni sana mkuu,tungekuwa tunazungumza mengine humu,so you should give thanks and praises to your God.

Kwa wale waliopoteza ndugu jamaa ama marafiki pia poleni sana na Mungu awalaze pema peponi.

Amin.
 
This is too much. RIP.

Watu Wanafanya Biashara Hadi Kwenye Road Edge!! Je kwa Hali Hii Unategemea Ajali Zitapungua!! Law Enfforcers Wanaogopa Watakosa Kura!! Hii Ni akili au Matope? Hadi Inatia Aibu!! Always Vehicles can got a technical failure that is why roads a kept with safety Recovery Zone!! Sasa Yote Haya Tumepuuza Unategemea Miujiza? Eh Mungu Tubariki na Utupunguzie Hii laana Uliyotuachia!!
 
Pole sana majeruhi! RIP marehemu

Ajali zitatumaliza jamani! Eeee Mola tuokoe
 
nami nachukua nafasi hii kwanza kuwapa pole majeruhi na wauguzi wao. Pili kuwapa pole wafiwa walioondokewa na jamaa.
 
Back
Top Bottom