RIP waliotuacha na poleni wafiwa.
Lakini ni yale yale, mungu akipenda, mungu tunusuru, tutasali, tutakemea, tutaomba!
😡😡Swala ni kwanini jali imetokea, je ni uzembe wa madereva? barabara mbovu? taa za barabarani mbovu? hatufuati sheria za barabarani?
Ajali karibu zote TZ zinasababishwa na sie wenyewe, taa nyekundu na hakuna gari watu wanapita, hata wengine wanadiriki kukutukana na kukupigia honi nyingi tu?! Magari mabovu hasa malori ni mengi mno! Kujaza mzigo kupita uwezo wa gari kumekithiri! Uendeshaji mbaya na wa hatari ni kawaida!
Itabidi tubadilike wabongo, ama sivyo ajali kama hizi hazitaisha!