Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,201
- 99,939
Ajali hadi mjini?? Duh, haya wapumzike kwa amani na MUNGU atusaidie tuepukeane na ujinga huu wa kuendesha magari yasiyofanyiwa service
Na madereva wasiokuwa na leseni wamejaa tele mitaani!
Sijaipata vema, ila ni ajali mbaya, watu watatu wamekufamo na wengine bado wamekwama mu-gari.
Source: East Africa Radio
Nimepita hapo mahali hivi punde. idadi ya marehemu haiwezi kufikia hiyo idadi ulitoitaja Mkuu
oh!! My god!! Let the deceased rest in eternal peace amen!!mhhhhh!!!!!!!!!!hiii sasa balaaaaa,kila kukicha ajali ajali ajali,mungu awalaze mahali pema.
ajali mbaya (ubungo riverside): Lori laacha njia na kuua watu, maiti 20 zishapatikana