Ajali Tegeta Kibaoni

Ajali Tegeta Kibaoni

Ni Tanzania tu ambako magari hayakaguliwi kama yana sifa za kuwa barabarani. Mara ngapi tunasikia kuwa malori hayana brake. Si kwamba hayakutengezwa bila brake hila ni kwamba hayafanyiwi service na hakuna anayekagua. Askari akikagua na kukuta kosa akipewa 10,000 yanaisha.
 
haya ma mbaula nikiongozana nayo kwa barabara ni full sala tu maana wakati wowote linaweza likakujeruhi
 
Ajali ina kinga
very rare view kusikia Mtanzania anasema ajali inayo kinga.

Hapo mahala ajali zinatokea kila uchwao lakini hakuna alama za tahadhari, hakuna malori mabovu yanayokamatwa, hakuna askari, hakuna nothing. Ajali ikitokea utasikia "kazi ya Mungu haina makosa."
 
pana tatizo la mteremko mkali toka Wazo Hill ambapo magari hasa mabovu hushindwa kukamata breki kabla ya kuiniga main road hapo huhweza kugonga magari mengie au kuanguka vibaya
Inabidi serikali itafute shuruhisho la kudumu!
 
Hongera ArushaOne, Unastahili kuwa VERIFIED USER. Mods nadhani huu ni wakati wa Mkuu kupandishwa cheo.....nakumbuka enzi za TPDF.

Ajali ina kinga if only drivers will concentrate on wheel steering! Haihitaji degree kuendesha gari ila uzembe umezidi. Nadhani kuna haja ya kuwapima madereva kama walikunywa pombe/wana hangover kila siku asubuhi kabla ya kuwapa funguo wa gari. SORRY
 
Inabidi pale patupiwe macho na wanusalama wa barabarani.

Siku moja nilishuhudia lori limefeli breki likushuka kwa spidi derva aka ruka akanza kuwafukuza watu waondoke kwani Lori nimemshinda likaingia kwenye bar pale likagonga jiko likauwa pale pale waliokuwa bar walikimbia maana waliona kifo hiki hapa, kikweli ilikuwa hatari sana.
 
Back
Top Bottom