Ajali njiapanda ya kilingeni

Ajali njiapanda ya kilingeni

Nasikia mafuta ya ungo ni damu, je ni kweli, pia kuhusu kuvunjika au kuumia hujanijibu.
Damu inatumika kidogo sana... Hawaanguki bali chombo hukosa nguvu na kurudi chini... Anguko halisi halizidi mita moja
 
dah nimeona ziwa na paja nimedinda, uyo unapiga pu mbu mambo ya ungo unaweka pembeni kwanza
 
Unauliza jibu? Watu walishafanya finishing fasta kabla umati kufika. Nundu lote lile watu wataachaje kwa mfano?
Yaani wahuni mkimwachia manii yenu huyu mmekwisha.
Hakuna tofauti na kumkabithi password ya kadi yako ya bank mtaalamu wa IT.
 
Kwanini mtu aamue kuwa mchawi/mwanga ili kuwadhuru binadamu wenzie!?

Kuna faida gani ya kuwa mchawi/mwanga hadi mtu mwenye akili yake aamue kujiingiza huko?
😳😳😳

Mshana Jr
 
Back
Top Bottom