Binadamu wanapenda shortcut na adventures.... Wengine ni katika kutaka kutoka haraka kimaisha, upweke, sononi na kutaka kujua zaidi, wengi hujikuta wanaangukia hukoKwanini mtu aamue kuwa mchawi/mwanga ili kuwadhuru binadamu wenzie!?
Kuna faida gani ya kuwa mchawi/mwanga hadi mtu mwenye akili yake aamue kujiingiza huko?
Mshana Jr
Hivi huyu mchawi umkute mchana kavaa dera utachomoka kweli?? Tunalalamika matatizo ya nguvu za kiume kumbe tuna paramia Michawi tunalala nayo Inatunyoosha..
Sema hapo sjui kesi yke itakuaje na mlalamikaji ni nani na atashtakiwa kwa kosa gani? Siku nyingine ajifunze kufanya service gari lake mambo yakuweka mafuta ya kupima ndo hayoooo...
Sema kanona jamani![]()






Mungu wangu nacheka kama chizi@Mshana Jr, usicheke, huyu atakua kindakindaki mfia chama kabisa
Naomba kuuliza hivi inakuaje mchawi anaanguka na ungo, pia kama anaanguka nao kutoka juu mbona hua hawafi wala kuvunja hata miguu?
Ukimleta Kiranga hapa and co,
Mkuu anaweza akawa amekaa pembeni alafu akakupa fisi. Wewe ukaona unakula mzigo wake kumbe fisi anakukatia mauno. Na hii inawatokea sana wanaokula madada poa.Utashtakiwa na Jamhuri kwa kosa la ubakaji.... Kuanguka kwa mchawi ni bonge la setback huwezi kudhuriwa na jeshi husika
Hawa vijana wanarukia mambo wasiyoyajuaatakuwa ameyataka mwenyewe bila kujua
Ongezea na hii, inakuwaje huwa hatuoni wakiwa wanapaa? Mara nyingi tunaona wakiwa ardhini tayari. Hawawezi kukosea tuwaone wakielea angani?


hata hivyo msukosuko alioupata hata hivyo si haba, naona NANDY yake imechanika chanika
Huwa wana parachute kama rubani wengine