Ajali njiapanda ya kilingeni

Ajali njiapanda ya kilingeni

Dah yaani mdada mzuri mwenyewe sijui alikuwa anaendawaloga mawifi, mama mkwe au mke mwenza?!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]akawakuta wako fiti kalikiti
 
Linyonyo kama ananyonyesha majambazi [emoji16] ..,..! ( unalitusi tu sababu linakera sijui linafaidika nini na hyo makitu)
 
Tako lote hilo wameshindwa hata kumtafuna?!!
Huyo alitakiwa wamfiche kwanza wamguogeshe waandae mafuta wamtafune zamu zamu halafu wanamuacha
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii ajali hakuna majeruhi hahahahah watu wanaanguka bado wazima uchawi banah
 
Dhana tatu:-

1. Huenda si mwanga / mchawi wala mganga, bali ni mshirikina tu aliyeenda kwa mganga.... Akaambiwa avae vile na zana zile afanye mambo fulani sehemu fulani muda fulani mambo yake yatafanikiwa.

2. Huenda ni namna tu ya mchungaji tapeli kupata wafuasi hivyo wametengeneza tukio...

3. Huenda ni mwanga kweli, lakini nachelea kusema hivi kwa sababu ya mavazi na hata huo ungo...

I bet its something to do with vinyamkera na vimizimu as far as mavazi as concerned.
____

Miaka michache nyuma kuna mama mmoja alipata aibu kama hii mchana kweupeeee Mabibo Dar es Salaam!

Hakyanani waganga matapeli Mungu anawaona!
 
Back
Top Bottom