Ajali Morogoro, watu kadhaa wabanwa na gari la mizigo

Madereva wengi wa malori wanachoka sana, hapo usikute alisinzia.
Kuna haja ya haya malori yawekewe limitation ya muda wa kusafiri usiku, ili madereva wapate muda wa kupumzika
Kampuni zenye kujitambua ikifika saa 3 usiku dereva unaambiwa uwe umepaki gari ili upate muda wa kupumzika.

Ila sasa matajiri wengine wa kibongo wanaangalia maslahi tu, we piga gia usiku na mchana mzigo ufike mapema yeye apate pesa yake..
 
Ni suala la wizara ya mawasiliano na uchukuzi kulifanya kisheria.
Ajali nyingi sasa hivi zinasababishwa na malori ya mizigo.
 
Barabara inatakiwa ipanuliwe kuanzia mzunguko wa msamvu hadi eneo la mkabarani (njia ya Dar -Moro) na uelekeo wa Moro -Dodoma ipanuliwe hadi eneo la kikundi.
Bila kupanuliwa barabara,changamoto ya ajali itaendelea kusumbua Morogoro, maana maeneo niliyobainisha ndio yenye ajali za mara kwa mara.
 
Kutenganisha barabara ndio suluhu
 
Back
Top Bottom