AJALI, MOROGORO: Mwanajeshi na Mtoto wafariki baada ya Basi la Polisi kugongana na Noah iliyokuwa na Wanajeshi

Kumbe ni masoja kwa masoja,masoja ni watu wema sana bora huyo mmoja asingekufa lkn hao ccm hawafai kabisa make hata msako wa kuwatafuta waandamanaji umetia watu tafrani kabisa

I have a dream.
 
Ukiangalia hapo nadhani ni gari la polisi ndio lilienda upande wa Noah
inawezekana kwenye kuikwepa hyo noah ndo imesababisha ihame..na hyo gari kuna picha imeomekana nje ya barababa hienda baada ya kuivuta ndo ikaingia road hvyo
 
What a coincidence? Pumzika Kwa Amani mtoto mzuri, majeruhi mtapona tu msijali. Poleni Sana ndugu zetu. Mtabaki kuwa ndugu zetu tu, no matter what
 
Ingekuwa lilikuwa basi la raia abiria tungesikia sababu ni mwendo kasi na tena madereva wawe wanawekwa mahabusu kabisa. Lakini sasa hawa ni wale walinzi wa Mwigulu yuko kimya kama hayupo. Jidanganyeni kuwa mnafanikiwa kuwadanganya watu wote siku zote.
 
Back
Top Bottom