TANZIA Ajali Mbeya: Watu wanne akiwemo Mkurugenzi wa Wilaya ya Igunga Mkoani Tabora wamefariki dunia

Hayo magari wana abuse sana speed zake, sbb barabara zetu sio salama kwa speed za hizo gari, unakuta dereva anatembea 210 - 230 km/hr mfano, na VX zingine zina hadi 260km/hr top speed, sasa barabara zetu tunajua, gari yoyote ukifika 150 km/hr and above hakikisha una exercise very high caution, na barabara uwe unaona mbali na iwe straight, nzuri na kuwe na clear visibility, anything can go wrong na ajali inaweza kukupata, haijalishi ww ni dereva mtaalam au una experience ya miaka mingapi.
 
Sio rahisi chadema kufurahia kitu wasichoweza kukipata... hapo ni nafasi ya ulaji kwa mtu mwingine toka CCM.
CCm laana itawatesa Sana Yani hata kwenye kifo wanaleta siasa, Kama ndivyo basi mwanachadema akifa azikwe na wanachadema hivyo hivyo mwanaccm,

Taifa ccm wanalipeleka pabaya KWa siasa za kishamba, nani hawezaye furahia kifo Cha mwenzake Kama sio mchawi
 
Hawatoshi basi. Waongezwe.
Mimi niko Barabarani karibia kila siku,hao Matrafiki wanatusumbua sisi, ila Madereva wa Gari za Serkali huwa hawaguswi, tena wengine huwa wanawasha na Vimulumuli.

Kwahiyo utitiri wa Matrafiki huwa unatusumbua sisi haswa Madereva wa Malori.

Nataka kusema ule utitiri usirudishwe,na asietii sheria bila shuruti atakufa mwenyewe na Bosi wake.
 
Back
Top Bottom