Ajali mbaya..

Shagiguku

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
407
133
kijana mmoja umri miaka 15 - 17 amenusulika kufa ktk ajari ya gari maaeneo ya isamilo mwanza baada ya kupinduka (kichwa chini miguu juuu) na gari la baba yake alilokuwa ameliiba kwa muda ili apige raundi kidogo...
 
Pole zake, itakuwa fundisho kwa wengine wasiibe magari ya wazazi wao! Hata hivyo kisheria kwa umri wake hana sifa za kuendesha gari
 
Na sisi wazazi tusiwe WANOKO sana kwenye magari yetu!....17-18 YRS ni muda mzuri tu kumfundisha mtoto gari!
Ona sasa, dogo ange+RIP+ m'baba angeanza kujilaumu!
 
mtoto wako akifikisha miaka 14 mfundishe gari, unaweza ukapatwa na ualo mbaya hakuna bajaj wala bodaboda mtoto aaweza kukusaidia japo anavunja sheria
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom