Ajali mbaya Quality Plaza...

Mtava ndo nn? weee USIBANEEE PICHA!

mtava gari la azania lilikuwa limebeba mpunga likapata ajari wananchi wakalipalamia na askar mlinz kuanza kutishia watu na gobole sasa picha unapigaje nanilikuwa on roads, but quality plaza ndio ilikuwa live picha sikupiga due to mshangao.
 
Bora umemwambia maana mie sijaelewa chochote, anandika kama vile kuna mwenzake anashindana naye ili awahi kupost thread

nawe ujaelewa nini saa, nimekwambia ajali imetokea na kuziba njia ya nyerere road nikiomba askar msaada waje kusaidia, utakuwa mjamzito wewe wagumu sana kuelewa
 
Watu wanakuwa na haraka zaidi ya kukamilisha mipango yao kabla mwaka uishe na matokeo ndiyo hayo.

Ni kweli kabisa, pia kipindi hiki watu wanakuwa kwenye Mood ya Sikukuu (Excited) hivyo kujisahau wawapo Barabarani, matokeo yake ni hizi ajali tunazosikia kila siku..
 
kuna ajali kubwa hapa, fuso mbili moja limeanguka juu chini, lingine lilochomekea mwenzake limetimuka na bodaboda iloyaingilia imepondwa sanaaaa, pls police nendeni pale mkasaidie njia ipanuke kwani kuna foleni balaa, pia nyuma ya hapo mtava kuna gari la azania lilobeba mpunga limeanguka pia watu wanazoa mpunga askar anawatishia na gobole yan tbc taifa napo kuna ajali yani leo sijui kama nitafika kwangu salama.

Watu wakiambiwa hizi ni sherehe za kipagani na kishetani wanakataa.

Mungu atuepushie shari za sherehe hizi.
 
Watu wakiambiwa hizi ni sherehe za kipagani na kishetani wanakataa.

Mungu atuepushie shari za sherehe hizi.

Habari za usiku mrembo, kauli yako inahashiria kama umepakatwa. Samahani mie siyo mdau wa kauli hizi ila umenilazimisha nizitumie.
 
Back
Top Bottom