Ajali mbaya Quality Plaza...

Ajali mbaya Quality Plaza...

Mhhh yaaani mpaka kichwa kinauma kuelewa ulichoandika...nileteeni panadol zangu nimeze
 
jana hapa Vingunguti usiku wa saa moja napo ajali mbaya...Mungu weee
 
Mola nusuru tu maisha ya viumbe wako kipindi hiki cha kusheherekea xmas na mwaka mpya. Shetani huwa anajiinua sana ili kupima imani zetu pia sisi binadamu tunakosa subira. Imagine unaendesha kwa speed inayotakiwa halafu wa nyuma yako anakupigia honi anataka ukimbize gari. Mimi huwa namwashia taa apite zake maana ana haraka. Sasa madereva kama hawa mtu anaendesha 120-180 mjini akikutana na hatari atasimama vipi? Mwishowe ni mweleka matairi juu.
 
RIP pia majerui mungu awape wepesi wapone haraka madereva jamani kuweni makini na vyombo vyenu vya usafiri.
 
Back
Top Bottom