ee mabasi ya mikoani au mabasi ya safari za humu humu ndani. Tutajie majina ya hayo mabasi mkuu. Asante
ni daladala mkuu c mabasi ya mikoani
ee mabasi ya mikoani au mabasi ya safari za humu humu ndani. Tutajie majina ya hayo mabasi mkuu. Asante
Kuna Ajali imetokea ikihusisha mabasi na maloli. Watu wameumia sana Pamoja.
=======
Pole wahusika tuwekee na picha mkuu
Kuna Ajali imetokea ikihusisha mabasi na maloli. Watu wameumia sana Pamoja.
=======
Picha;
![]()
![]()
![]()
Tunashukuru kwa picha ingawa hujafunguka vizuri,poleni sana wahanga.
Je kama kamchina kake kameenda tutajuaje..huyu mwandishi atakuwa mmoja wa majeruhi hadi kashindwa kumalizia thread yake. pole sana mkuu
Mbona mim niko ubungo sioni hiyo ajali, ubungo ya mkoa gani hiyo