Ajali mbaya kituo cha mabasi Ubungo

Ajali mbaya kituo cha mabasi Ubungo

Loli linikua na hitilafu kwenye mfumo wa breki...malori haya!
 
Mbona mim niko ubungo sioni hiyo ajali, ubungo ya mkoa gani hiyo

ni kweli ajali imetokea lakini hakuna aliepoteza maisha. fuso liligonga uda kwa na uda ikagonga gari ndogo nne. nimeona kwa macho yangu. sijui namna ya kuweka picha hapa ningeupload ujionee. kuna starlet imeharibika sana pia honda imeumia sana.
 
naomba utufahamishe mpaka sasa wangapi wamejeruhiwa katika hiyo ajali JF
 
Pole kwa wote waliohusika/husishwa na tukio hili.
 
Pole iwafikie wahanga

Ajali ni janga kubwa nchini mwetu
 
Tunahitahji tuone picha tofauti,sio blog zote picha ndio hizo hizo za mtu mmoja alopiga
 
Poleni sn majeruhi ktk nchi maskini ndiko ajali nyingi utokea sijui tatizo nini ,miundo mbinu au magari ndo chakavu ?
 
Back
Top Bottom