menyidyo
JF-Expert Member
- Oct 9, 2010
- 1,339
- 194
Kuna Ajali imetokea ikihusisha mabasi na maloli. Watu wameumia sana Pamoja.
=======
Picha;
=======
Ajali mbaya imetokea muda huu hapa Ubungo lango kuu la kuingilia mabasi yatokayo mikoani. Ajali imehusisha magari 6 likiwemo UDA.
Mpaka sasa haijajulikana idadi ya watu waliopoteza maisha.
Tunaendelea na uokoajii.
Taarifa zaidi na picha nitawapatia punde
Picha;