SIMBA WA TARANGA
JF-Expert Member
- Feb 14, 2012
- 987
- 220
Duuuuuh, ni kama naona samaki akitembea nchi kavu bila shida.
Sasa pale steers si kuna junction kubwa so inabidi dereva wapunguze speed? Kwa ajali hyo nadhani wote wana makosa flora msoffe hyo gari itakuwa mpya aliweka engine no. Akisubiria apate lisence plate kutoka kwenye kampuni ya shemeji.
aiseee kwahiyo kitu kipyaaaa kishakula mwereka hata namba hakikupata lol pole yake
...Tena kupinduka kwenye kwa matairi kuwa hewani Samora AvenueUtadhani ni mlima kitonga? Sipati picha na inaonekana ni muda wa watu na magari mengi mjini...Very strange in deed!!..Poleni wote lakini...:baby:How come gari ipinduke mjini?
my dear, kuna watu sku iz wanaishi ki ujanja ujanja sana, anyway ipo iv mtu anaagiza gari kama ya transit, hivyo hailipiwi kodi anachofanya yy ni kupata particulars of the simlar car iliyosajiliwa tanzania ambay haiexist tena (hapa kuna sababu nyingi kwa gari kuwa haiextist tena na particulars zikawepo, yaweza kua iliungua moto, iliibiwa, ilipata ajali au hata ilawa imechakaa). hapa sasa kwa kutumia hizi particulars mdau anaendeleza kwa kulipa road licence na insurance kama kawaida na gari ikawa inatumika hapa hapa tanzania. kwa kufanya hivi anakua amekwepa kulipa kodi ya serikali, ambayo mara nyingi huwa hadi 90 kama sio 110% ya value ya gari (from cif price)
nahis na hii gari iliyopata ajari yaweza kua kwenye hili kundi. namba ya zamani kwa gari mpya na ipo mjini hapa hapa