Ajali mbaya: Basi la Sumry laua 14 huko Singida!

Nilitegemea jf members wanafikiri zaidi GT, kumbe watu wanafikiri kiwangu hiki cha UCHAWI!!! Kwanini watu tusifikiri zaidi kidogo kujua mazingira yaliyosababisha ajali ambayo itasaidia siku za mbeleni kuliko tukawa wavivu au tukajizuia na kuishia hapo kwenye uchawi. Sasa itafika wakati kila ajali jibu litakua UCHAWI au KAFARA?.
Ipo siku utakuja kuniamini, na wala mimi sijasema hilo kwa ajali zote!
 
Acha kupotosha waluokufa palepale alianza muendesha baiskeli akaja askari na raia kuja kushudia raia 12 na muendesha baiskeli 1 askari 1 usipanic ukapotosha watu na kama kuna zidi ya hao labda waliokuwa ni majeruhi .
Very sad kwa kweli and may their soul Rest In Peace..but naomba nimsahihishe mwandishi kwamba sio watu 14 ni watu 15 waliokufa pamoja na yule wa baiskeli.
 
Ipo siku utakuja kuniamini, na wala mimi sijasema hilo kwa ajali zote!

Mkuu, hata mimi najua hujasema ajali zote ndiyo maana nikasema ITAFIKA WAKATI KILA AJALI itasemwa ni uchawi na kafara. Kuhusu kwamba ipo siku nitakuja kukuamini hapana, labda ungesema iko siku nitakuja kupata tatizo au ajali hapo ningekubaliana nawe, na ningependa ujue kwamba ninachofahamu nikipata ajali au tatizo lolote sitalipeleka katika mtazamo huo wa UCHAWI au KAFARA. Watu tunatofautiana katika mitazamo na namna ya ku-judge mambo.
 
Imetokea usiku huu ajali mbaya maeneo ya Ikungi, Singida ikilihusisha basi la Sumry linalosafiri kati ya Kigoma-Dar.

Inasemekana mwendesha baiskeli alikuwa akivuka barabara lori likamgonga ghafla wanakijiji wamejaa kushangaa tukio na askari akipima ajali ndipo likatokea basi la Sumry na kugonga watu kumi na tatu pamoja na askari ni wa 14 mpaka sasa ndio idadi kamili ya waliopoteza maisha.

Mungu awalaze mahali pema Amina.

==========
ZAIDI:
==========

Sasa wamefika 19 kwa mujibu wa kipindi cha matukio RFA asubuhi wakimhoji mtangazaji aliyepo Singida
 
Polen sana ndugu wa marehemu na MUNGU azilaze roho za marehemu hao mahala pema peponi amen.
 
Mimi ni shuhuda ambaye nilikuwa ndani ya bus la Al Saedy toka Kigoma kuja Dar na gari letu ndilo lilitumika kuipa escort Sumry ili lifike Police maana taa zake za mbele zilikufa.

Ukweli ni kuwa hao wananchi walitaka kufunga barabara baada ya mwenzao kugongwa na hata Sumry alipowapigia horn waligoma kuondoka na kuendelea na zoezi la kupanga mawe. Dereva wa Sumry alijitahidi kuwakwepa lakini akashindwa kutokana na mwendo kasi na pia kulikuwa na gari jingine mbele yake.

Ubishi wa hawa ndugu zetu ndio umepelekea maafa yote.
 
Ajali nyingi si mapenzi ya Mungu ukiangalia kwa undani utakuta mambo ya kishetani yanahuaika Mimi naamini Mungu si katili kiasi hiki mpaka aryhu ajali mbaya namna hii ila pole kwa wafiwa wote Mungu awape uvumilivu ndo ishatokea.
 
Imetokea usiku huu ajali mbaya maeneo ya Ikungi, Singida ikilihusisha basi la Sumry linalosafiri kati ya Kigoma-Dar.

Inasemekana mwendesha baiskeli alikuwa akivuka barabara lori likamgonga ghafla wanakijiji wamejaa kushangaa tukio na askari akipima ajali ndipo likatokea basi la Sumry na kugonga watu kumi na tatu pamoja na askari ni wa 14 mpaka sasa ndio idadi kamili ya waliopoteza maisha.

Mungu awalaze mahali pema Amina.

==========
ZAIDI:
==========

SHUHUDA:

pole kwa wote iliotugusa
 
R.i.P waliotangulia bt huyo dereva anastahili anyongwe
 
Mimi ni shuhuda ambaye nilikuwa ndani ya bus la Al Saedy toka Kigoma kuja Dar na gari letu ndilo lilitumika kuipa escort Sumry ili lifike Police maana taa zake za mbele zilikufa.

Ukweli ni kuwa hao wananchi walitaka kufunga barabara baada ya mwenzao kugongwa na hata Sumry alipowapigia horn waligoma kuondoka na kuendelea na zoezi la kupanga mawe. Dereva wa Sumry alijitahidi kuwakwepa lakini akashindwa kutokana na mwendo kasi na pia kulikuwa na gari jingine mbele yake.

Ubishi wa hawa ndugu zetu ndio umepelekea maafa yote.

umeshuhudia vizuri lakini umeripoti kwa kumalizia vibaya!
kama una akili timamu ni lazima unikubalie kuwa dereva alipaswa kusimamisha gari alilokuwa akiendesha kwa kuwa barabara haikuwa salama kwa matumizi.

ALIYEKOSEA NI DEREVA WA BASI LA SUMRY, AMEUA KWA KUKUSUDIA.
 
Mkuu naomba ukumbuke kuwa pale ni highway na kuna kona, alafu isingekua jambo jepesi kufunga break za ghafla na kama angefanya hvyo lazima angeangusha gari na pengine maafa yangekua makubwa zaidi. Horn imewekwa ili kumshtua yule aliejisahau lakini raia waligoma kutii
 
Back
Top Bottom