Uwe unasoma vizuri na kuelewa.
hata ukiandikiwa tena wewe n mvivu kusoma.
Ilikuwa inatoka Kigoma kwenda Dar. eneo ni Itungi Singida. Waliopoteza uhai ni binadamu 14. Basi la Sumry.
Yale yale ya Barabara ya Kilwa?? Ajali juu ya ajali. Wananchi wanakaa barabarani usiku kushangaa ajali nao wanakutw na ajali na wengine tunabaki tukiendelea kushangaa.. ajali juu ya ajali
Mungu azilaze roho za marehemu mahala pema peponi aamen.yani watu wanajaa barabarani hadi basi linafika na kuwagonga hapo mahala ni kona au!na hilo basi inamana halina ata muungurumo so sad!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.