Ajali kubwa imetokea harusini

Ajali kubwa imetokea harusini

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
62,393
Reaction score
38,856
Poleni wanandoa
 

Attachments

  • IMG_6191155530259.jpeg
    IMG_6191155530259.jpeg
    81.3 KB · Views: 3,024
aina ya uandishi wako pdidy huwa unanifurahisha sana......mfano katika thread hii utadhai wote tunawafahamu hawa na hiyo ajali kana kwamba wote tumeiona...
 
aina ya uandishi wako pdidy huwa unanifurahisha sana......mfano katika thread hii utadhai wote tunawafahamu hawa na hiyo ajali kana kwamba wote tumeiona...

Edson msibahutakiwi kumjuamtu wapepole TU kamaujaoa yawezakujakwako
 
​duuuuhh kweli hiyo ajali ni mbaaaya, Bi harusi kanuna sijui hata ka kutakuwa na fungate hapo
 
Happnokugawana zawadi mkatabafeki mnachagua zakikwa Mama zakiume baba mnaanza chakohiki changu. hiki. keshoyake. mnaandika msg ahsanteni. kwaushirikiano wenu kwenyeharusiyetu mnaweza kujakutuona. Wote tumerudi kwazaziwetu
 
Kadikaipatawapi happchachaaa
 
Ajali ya kutengeneza mtu anawezaje kununa na kutabasamu kwa wakati mmoja...!
 
inaonekana kamati ilimleta MC bila kujua kama alikuwa ni mchepuko wa Bwana harusi,,,, Huoni Mic mkonon hyo bila shaka alikuwa MC huyoooo
 
na kinachoonekana, mchepuko yuko vizuri kuliko harusi,hongera Pdidy kwa taarifa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom