Nimepokea taarifa kuwa rafiki yangu mwalimu Suma Mwaitulo wa SUA leo akiwa njiani kuelekea dar alipata ajali na kufatiki yeye pamoja na wanae wawili na yaya wao. Habari hii imenisitua sana na hasa nikimfikiria mume wake ndg Jimmy Mwakyami aliyepoteza familia yote mara moja. Kwa kweli inauma sana.
Mungu amtie nguvu ndg Jimmy wakati huu mgumu. AMEN
Kwa mara ingine tena bara bara zetu zimeendelea kuwa kimeo na janga la Taifa. Mhadhiri kijana ; SUMA MWAITULO wa Crop Science and Production Department kapoteza maisha yake leo asubuhi. Alikuwa anaendesha gari akiwa na watoto wake pamoja na mtumishi wa ndani (House girl). Wote waliokuwemo kwenye gari wamefariki. Barabara zetu kwa kweli ni janga lingine ambalo linatakiwa liingizwe kwenye KATIBA mpya ili kudhibitiwa
Watanzania hatuna jema, Waziri Magufuli anajaribu kuwa mkali ili kuzilinda barabara zetu lakini anaonekana mbaya, anakosa uungwaji mkono, lakini ubovu wa barabara hizi lawama serikalini. Sasa tunataka lipi jamani??????????????????
Yaani hii Bongo alituroga, alitukomoa sana.
Watanzania hatuna jema, Waziri Magufuli anajaribu kuwa mkali ili kuzilinda barabara zetu lakini anaonekana mbaya, anakosa uungwaji mkono, lakini ubovu wa barabara hizi lawama serikalini. Sasa tunataka lipi jamani??????????????????
Magufuli ndio anaetengeneza bara bara zisizo na viwango, malori yapo dunia nzima mbona kwingine hawalalamiki..
Mfano lori likitoka na mzigo bandari ya Dar mpaka Lusaka linapita barabara za tanzania mpaka border then linapita bara bara za zambia kuanzia boarder mpaka lusaka na mzigo uzito huo huo, mbona wenzetu hawalalamiki?
Magufuli mwizi tu, anajua kabisa bara bara zake hazina viwango ndio maana hajiamini, mbona rwanda, burundi, congo hawalalamiki wakati hayo malori yanaenda nchi zao na yanatembea kwenye bara bara zao na mizigo uzito huo huo waliotoka nao bandarini
Tatizo si barabara ni madereva wa magari,madereva wengi hawana uzoefu wa safari ndefu,lakini mtu akimiliki gari ataka aendeshe mwenyewe,ulevi pia unachangia,mwendo kasi pia unachangia.Hujatufahamisha ajali imesababishwa na nini kati ya hivyo.Kwa mara ingine tena bara bara zetu zimeendelea kuwa kimeo na janga la Taifa. Mhadhiri kijana ; SUMA MWAITULO wa Crop Science and Production Department kapoteza maisha yake leo asubuhi. Alikuwa anaendesha gari akiwa na watoto wake pamoja na mtumishi wa ndani (House girl). Wote waliokuwemo kwenye gari wamefariki. Barabara zetu kwa kweli ni janga lingine ambalo linatakiwa liingizwe kwenye KATIBA mpya ili kudhibitiwa
Kwa mara ingine tena bara bara zetu zimeendelea kuwa kimeo na janga la Taifa. Mhadhiri kijana ; SUMA MWAITULO wa Crop Science and Production Department kapoteza maisha yake leo asubuhi. Alikuwa anaendesha gari akiwa na watoto wake pamoja na mtumishi wa ndani (House girl). Wote waliokuwemo kwenye gari wamefariki. Barabara zetu kwa kweli ni janga lingine ambalo linatakiwa liingizwe kwenye KATIBA mpya ili kudhibitiwa
sio barabara tu,magari mabovu on the road,influence ya ulevi kwa baadhi ya madereva etc
Yaani hii Bongo aliyeturoga, alitukomoa sana.
Kwani mmelogwa?