Sizinga
Platinum Member
- Oct 30, 2007
- 9,101
- 6,027
Nipo hapa stand round about ya Arusha karibu na huu uwanja wa Shiekh Abeid...kuna bonge la ajali limetokea. Subaru nyekundu ya dem flan kavuka bila kuangalia taa kakutana na gari ingine. Zimechukuana kwa bahati mbaya wapita njia wa pembeni alikuwa Cheka bondia na kocha wake, wamesombwa vibaya na muda huu wapo hospital sijui hali zao zitakuaje. Cheka kaunizwa maeneo ya kiuno analalamika sana na kocha kaumizwa mguu....
Nasikia ana mpambano kesho huko Moro, alikuwepo Arusha akitokea Kenya.
Nasikia ana mpambano kesho huko Moro, alikuwepo Arusha akitokea Kenya.