Shaycas
JF-Expert Member
- Feb 13, 2009
- 906
- 110
Wadau,leo asubuhi around 12:30 askari wa JWTZ aitwae sgt Said Kindamba amegongwa na gari la Polisi wakati akienda kazini na kufariki papo hapo.
Ajali imetokea karibu kabisa na kambi ya jeshi TMA wakati askari huyo akitokea nyumbani kwake na kuingia barabara kuu ya Monduli-Arusha,ndipo akagongwa na Gari hilo la Polisi lililokuwa limetokea Monduli. Mwili wa marehemu unatarajiwa kusafirishwa kesho kwenda kwao Iffakara,Moro kwa mazishi.
Mungu ailaze Roho ya marehemu SGT KINDAMBA mahali pema peponi.