Naomba lift jaman nawee. Mmmh.
Bodaboda na bajaji zinachangia sana watu kutokeep distance. Ukiacha nafasi tu kundi la wahuni limejaa mbele yako. Ndio maana magari barabarani distance in-between ni as if yanavutana.Uendeshaji wa zero distance ni janga la sasa barabarani , lolote likitokea hakuna nafasi ya kurekebisha
Waweke tuta hapo ndio kudhibiti akili za mbongo... Hapo ajali zinatokea Sana. Otherwise waweke speed limit kama daraja la Kigamboni.Rasta za nini au matuta makubwa darajani? Mzee hebu acheni ujinga barabarani watu wanatakiwa wafunguke wawahi wanakoenda
Yaani mjeeumani kamdharirisha sana mjapaniHio Prado haijagonga nguzo ya daraja, imegonga nyuma ya BMW! Kweli Mjerumani si wa mchezo mchezo!
Extrovert
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] thubutuuuu.Mimi mwenyewe nikiwa mjini naishi kwa lifti [emoji1]
Ova
Tumepita na ngarangara speed 50,60Waweke tuta hapo ndio kudhibiti akili za mbongo... Hapo ajali zinatokea Sana. Otherwise waweke speed limit kama daraja la Kigamboni.
Ukizidisha speed Faini
Kuna bodaboda alikufa wiki mbili zimepita alichotwa na gari liko speed niliona Kwa macho yangu. Akili za mtanzania akiwa barabarani bila kumdhibiti Kwa matuta au Faini za trafick hawez kujiongiza.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bas sawaaah.Mimi najulikana mzee wa lifti kuanzia private za watu hadi daladala nyingi mjini napanda bure,si unajuaa tena ex konda wa zamani
Ova
Waweke fine tu huo utaratibu wa matuta darajani haufaiWaweke tuta hapo ndio kudhibiti akili za mbongo... Hapo ajali zinatokea Sana. Otherwise waweke speed limit kama daraja la Kigamboni.
Ukizidisha speed Faini
Kuna bodaboda alikufa wiki mbili zimepita alichotwa na gari liko speed niliona Kwa macho yangu. Akili za mtanzania akiwa barabarani bila kumdhibiti Kwa matuta au Faini za trafick hawez kujiongiza.
[emoji28][emoji38]eti kundi la wahuniBodaboda na bajaji zinachangia sana watu kutokeep distance. Ukiacha nafasi tu kundi la wahuni limejaa mbele yako. Ndio maana magari barabarani distance in-between ni as if yanavutana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakuonaa nakuonaaa.
Ungemuuliza kwanza je ana chura?Mimi mwenyewe nikiwa mjini naishi kwa lifti [emoji1]
Ova
Eeh bana eeh tuta bosheni zile. Za kiboss kama za Bagamoyo road ile mitaa ya Makongo. 😀Baada ya daraja kuna rasta na tuta,kabla ya mataa kuna rasta na tuta ila ni Yale matuta hata na 100kph unaruka tu