cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,312
- 187,978
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] em sema kweli babuuuh.Mjukuu prado ni mjep! Angalia chuma ya mjerumani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] em sema kweli babuuuh.Mjukuu prado ni mjep! Angalia chuma ya mjerumani
Yaani wala haina hata habari kama kuna ajali imetokea. Ni as if nothing has happened! Prado sasa linavokenua!Naona chuma ya mjerumani bado imenyooka
Rasta za nini au matuta makubwa darajani? Mzee hebu acheni ujinga barabarani watu wanatakiwa wafunguke wawahi wanakoendaWaweke matuta makubwa na rasta za kutosha hapo darajani. Watu wa maeneo hayo wana viburi na waendesha ovyo sana!
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 PRADO imefumuka hadi Airbags 😀Hii ajali imetokea na maeneo yanaonekana kama Tanzanite Bridge.
Video inaonesha magari yameparamiana.
Hii video nimetumiwa tu, mwenye kufahamu chanzo ya ajali hapo atueleze.
Ova
RRONDO
View attachment 2497691View attachment 2497692
Hahahaaa. Mfano wa kibakuli ni upi Mkuu?Inasemekana kulikuwa na msafara askari akasimamisha magari ghafla na hapo Tanzanite vyuma huwa vinaachiwa sana, si umeona gari zenyewe hamna kibakuli madungu jeshi tu
Baada ya daraja kuna rasta na tuta,kabla ya mataa kuna rasta na tuta ila ni Yale matuta hata na 100kph unaruka tuWaweke matuta makubwa na rasta za kutosha hapo darajani. Watu wa maeneo hayo wana viburi na waendesha ovyo sana!
Madereva pale huwa wanakanyaga sana....kama unavyosema traffic alisimamisha magari kwa mshtukizoBaada ya daraja kuna rasta na tuta,kabla ya mataa kuna rasta na tuta ila ni Yale matuta hata na 100kph unaruka tu
Magari yote Yakija gereji kwangu nitawapa discount kubwaaaaaHii ajali imetokea na maeneo yanaonekana kama Tanzanite Bridge.
Video inaonesha magari yameparamiana.
Hii video nimetumiwa tu, mwenye kufahamu chanzo ya ajali hapo atueleze.
Ova
RRONDO
View attachment 2497691View attachment 2497692
Porte, Sienta, isn't vitz nkHahahaaa. Mfano wa kibakuli ni upi Mkuu?
Hao ndo wanazuia ajali?Hilo daraja halina traffic police?
Magari ya maana tu dadeki hamna ist apoHii ajali imetokea na maeneo yanaonekana kama Tanzanite Bridge.
Video inaonesha magari yameparamiana.
Hii video nimetumiwa tu, mwenye kufahamu chanzo ya ajali hapo atueleze.
Ova
RRONDO
View attachment 2497691View attachment 2497692