G-Funk
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 2,397
- 5,561
Kluger sio kibakuli hicho 🤣🤣🤣 hio Land Cruiser ya wachina...
Kluger sio kibakuli hicho 🤣🤣🤣 hio Land Cruiser ya wachina...
Daraja la kuelekea wanapoishi watu ngumu sana kukutana na gari kimeo.Magari ya maana tu dadeki hamna ist apo
Hamna kuombana laki 2 za kunyoosha gari hapo. Kila mtu anampa pole mwenzie maisha yanaendelea 😀😀😀[emoji38] vibopa watupu hapo
Ova
Umetoka kifungoni?Hio hatari kwenye lango yani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Niko uraianiUmetoka kifungoni?
Naona chuma ya mjerumani bado imenyooka