Naona chuma ya mjerumani bado imenyookaHii ajali imetokea na maeneo yanaonekana kama tanzanite Bridge
Video inaonesha magari yameparamiana
Hii video nimetumiwa tu,mwenye kufahamu chanzo ya ajali hapo atueleze
Ova
RRONDO
View attachment 2497691View attachment 2497692
Tena ni mavieyiti na mavangadi looooh msafada huoHii ajali imetokea na maeneo yanaonekana kama tanzanite Bridge
Video inaonesha magari yameparamiana
Hii video nimetumiwa tu,mwenye kufahamu chanzo ya ajali hapo atueleze
Ova
RRONDO
View attachment 2497691View attachment 2497692
Inasemekana kulikuwa na msafara askari akasimamisha magari ghafla na hapo Tanzanite vyuma huwa vinaachiwa sana, si umeona gari zenyewe hamna kibakuli madungu jeshi tuHii ajali imetokea na maeneo yanaonekana kama tanzanite Bridge
Video inaonesha magari yameparamiana
Hii video nimetumiwa tu,mwenye kufahamu chanzo ya ajali hapo atueleze
Ova
RRONDO
View attachment 2497691View attachment 2497692
Aise si mchezo naona gari zote hapo za wazito...hakuna ist wala vitzInasemekana kulikuwa na msafara askari akasimamisha magari ghafla na hapo Tanzanite vyuma huwa vinaachiwa sana, si umeona gari zenyewe hamna kibakuli madungu jeshi tu
Mjukuu prado ni mjep! Angalia chuma ya mjerumaniDuuuh afu sasa magari enyewe ni ya kifahari na bei mbayaa, hilo pradoo liko nyang'anyang'a hapo mbelee.
Lol.
Poleeee kwa wahanga.