Ajali: Basi la Kampuni ya BM Coach lafeli breki maeneo ya Wami

Hii kampuni tangu nilivyopata ajali na basi lao kutoka Moro to Dar pale Ruvu darajani wala sitakuja kupanda tena, ni miongoni mwa kampuni za kipuuzi kuwahi kutokea
 
UNASHANGAA GARI LINAFIKA SALAMA LAKINI NAWAMBIA N STORY NDEFU PALE KWA MADEREVA WANA SIRI NZITO MPAKA UNAFIKA SALAMA

WAPO WAMEJAZA MAYAI..KUKU MZIMA.KABISA AMAMAYAI VIZA YANANUKA LAKINI KILA.MASAA YANAPIGWA PERFUME... ACHENI TU
 
yaani, ujinga wake wa kutocheck upepo alipokuwa mizani, ndio upelekee kuharibu mali za wengine!?

Hii si sawa kabisa, dereva awajibike, na bima wasilipe kabisa!
Mkuu usimlaumu gari ilikua nzima kabisa nimetoka nayo morogoro vizuri kabisa
 
Ndio maana huwa napanda ndege tu mabasi sio salama.

Imagine mko kwenye mwendo 80kph alafu dereva anafariki ghafla si wote mnaondoka nae??

Bora ndege zina auto pilot.

Nadhani unaliweza kutumia hekima zaidi (Kufanya tafakari zaidi) kabla ya kuandika Comment yako hapo juu. Ahsante
 
yaani, ujinga wake wa kutocheck upepo alipokuwa mizani, ndio upelekee kuharibu mali za wengine!?

Hii si sawa kabisa, dereva awajibike, na bima wasilipe kabisa!
Mkuu Dereva atapata wapi hela,unataka mwenye Lori asipate kitu?
 
Ndio maana huwa napanda ndege tu mabasi sio salama.

Imagine mko kwenye mwendo 80kph alafu dereva anafariki ghafla si wote mnaondoka nae??

Bora ndege zina auto pilot.
Hiyo Auto pilot inaji activate Automatic ?
Sijawahi kupanda ndege ila usidhani movies hatuangalii au video za tafiti za ajali za ndege huko youtube

Mtoto wa john F kennedy alikua na ulemavu hivo akashindwa ku control akiwa huko angani mbona ndege haikuji autopilot ?
 
Sometime ukipanga safar kutoka Dar kuelekea kaskazin ukifikiria mazingira ya daraja la mto wami unaweza ukawaza kufanya safari kwa kutembea kwa miguu tu[emoji16][emoji16][emoji16]
 
yaani, ujinga wake wa kutocheck upepo alipokuwa mizani, ndio upelekee kuharibu mali za wengine!?

Hii si sawa kabisa, dereva awajibike, na bima wasilipe kabisa!
ujinga wakati kaokoa roho za watu zaidi ya 60,pumbavu sana we mtoto.
 
Ndio maana huwa napanda ndege tu mabasi sio salama.

Imagine mko kwenye mwendo 80kph alafu dereva anafariki ghafla si wote mnaondoka nae??

Bora ndege zina auto pilot.
Daah hili huwa naliwazaga sana,au ghafla kapata kifafa...eeh Mungu dooh
 
yaani, ujinga wake wa kutocheck upepo alipokuwa mizani, ndio upelekee kuharibu mali za wengine!?

Hii si sawa kabisa, dereva awajibike, na bima wasilipe kabisa!
huenda pipe zilitoboka
 
Ndio maana huwa napanda ndege tu mabasi sio salama.

Imagine mko kwenye mwendo 80kph alafu dereva anafariki ghafla si wote mnaondoka nae??

Bora ndege zina auto pilot.
Kwa hiyo kwenye ndege marubani hawawezi kufa? Na viipi ikishindikana kutua mkapotelea mawinguni?

Na wewe una utoto aisee.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom