Mkuu umewahi kuendesha gari zinazo tumia upepo kwenye mfumo wa break au unaongea kwa kuwa sio weweyaani, ujinga wake wa kutocheck upepo alipokuwa mizani, ndio upelekee kuharibu mali za wengine!?
Hii si sawa kabisa, dereva awajibike, na bima wasilipe kabisa!
HAHAAAAAAAAANdio maana huwa napanda ndege tu mabasi sio salama.
Imagine mko kwenye mwendo 80kph alafu dereva anafariki ghafla si wote mnaondoka nae??
Bora ndege zina auto pilot.
Sawa mkuu tumejua unapanda ndege! Unadhani kila mtanzania anauwezo huo?Ndio maana huwa napanda ndege tu mabasi sio salama.
Imagine mko kwenye mwendo 80kph alafu dereva anafariki ghafla si wote mnaondoka nae??
Bora ndege zina auto pilot.
ANA GARI BASIMkuu umewahi kuendesha gari zinazo tumia upepo kwenye mfumo wa break au unaongea kwa kuwa sio wewe
NAKUKUHAKIKISHIA ANAWEZA HIO NDEGE HAJUI HATA MLANGO WAKE KAMA SIO MLANGO WA AIRPORT KUINGILIA ...HAWA MAKELELE MENGI SIOSawa mkuu tumejua unapanda ndege! Unadhani kila mtanzania anauwezo huo?
ATAKUWA MCHIMBA MAKABURI HUYU DILI LIMENUKA LOHjipeleke mirembe ukapimwe,mali wewe unaona ni bora kuliko uhai wa binadamu mwenzako,umejaa ubinafsi maana hukuwa na ndugu au jamaa yako kwenye lile bus,endelea kujifungia kwenye ivory tower yako ila elewa ipo siku utatolewa na kuingizwa mwingine.
Ni kweli mana mtu mwenye uwezo wa ndege hana mbwembwe za kijinga na kudharau wanaopanda mabasi! Hajui hata kama ni ndege siku zake zikifika tunamuimbia nyimbo za matangaNAKUKUHAKIKISHIA ANAWEZA HIO NDEGE HAJUI HATA MLANGO WAKE KAMA SIO MLANGO WA AIRPORT KUINGILIA ...HAWA MAKELELE MENGI SIO
nipo kwenye industry ya transportation mwaka wa tano huu....Mkuu umewahi kuendesha gari zinazo tumia upepo kwenye mfumo wa break au unaongea kwa kuwa sio wewe
Yaani ameongea utafikiri anajuaANA GARI BASI
WATU KAMA HAWA HATA BASIKELI KUNUNULIA MBOGA HAWANA WAKIONA YA MAGARI WANAMWAGIKA KAMA WAMILIKI WA MABASI
Mkuu wewe ni kilaza japo unajitutumua kuonyesha unajuanipo kwenye industry ya transportation mwaka wa tano huu....
Hongera kwake Dereva, namna hiyo ndio inavyotakiwa kuwa na Plan BAshukuriwe mungu, maafa yangekuwa makubwa kama basi lingetumbukia motoni
Dereva amefanya maamuzi sahihi kulibamiza kwenye Lori
Ajali haichagui chombo cha usafiriNdio maana huwa napanda ndege tu mabasi sio salama.
Imagine mko kwenye mwendo 80kph alafu dereva anafariki ghafla si wote mnaondoka nae??
Bora ndege zina auto pilot.
sawa, wewe ni mwerevu ...! Hongera kwa kubishania unachokijua.. ! jJUHA weweMkuu wewe ni kilaza japo unajitutumua kuonyesha unajua
Pole kwa kusema usicho kujua kuhusu magari
Mkuu nadhani unahitaji masaada wa kirohosawa, wewe ni mwerevu ...! Hongera kwa kubishania unachokijua.. ! jJUHA wewe
Na mimi nilitaka kuuliza hili aisee,, sijaelewa kabisa, au ni mawingu?Jamani mimi mbona naona mandhari ya ziwa au bahari?