serio
JF-Expert Member
- Apr 15, 2011
- 7,306
- 4,681
Umechanganya Melela iko Moro na mlandizi iko Pwani. Ni maeneo yakl tofauti. Sasa wapi mkuu?
Umechanganya madesa jombaaa
Umechanganya Melela iko Moro na mlandizi iko Pwani. Ni maeneo yakl tofauti. Sasa wapi mkuu?
No. Wewe ndp unachemka. Melela ziko km 3. Kuna Melela Kololo, Melela Mlandizi na Melela nzuri. Zote zipo Moro, karibu na Doma.
Umechanganya madesa jombaaa
Hujalazimishwa kuandika. Huu hapa chini ni Ujinga? kuwa mstaarabu watu wameumia na mwingine kapoteza maisha.
View attachment 127749
View attachment 127750
The issue hapa watu hamjui sehem za mbalimbali huko njiani, kwaiyo ungesikia eneo linaloitwa Chalinze mzee karibu na dodoma napo ungedai chalinze c ipo karibu na Dar? Ilo ni jina tu!Mabasi yanayo toka mbeya kwenda Arusha. Si yanapindia Chalinze? Mlandizi lilikuwa linaenda wapi?
Umechanganya Melela iko Moro na mlandizi iko Pwani. Ni maeneo yakl tofauti. Sasa wapi mkuu?
sometimes ukichunguza utakuta dreva ni mmoja kutoka mbeya hadi arusha
kwa wenzetu mtu huruhusiwi kuendesha gari zaidi ya saa 6 peke yako
SUMATRA wakomae na hili, basi liwe na madreva wawili waliofuzu vyuo vya usafirishaji na sio vinginevo
Ujingaaaa mtupuuu
ujinga ni upi hapo mheshimiwa!Ujingaaaa mtupuuu
Mmeona uzuri wa body ya mabasi original ingekuwa yale mabasi yenu yenye mabodi ya temeke hapo ingekuwa 27,28
Mabasi yanayo toka mbeya kwenda Arusha. Si yanapindia Chalinze? Mlandizi lilikuwa linaenda wapi?
Ongeza na hii: melela BustaniNo. Wewe ndp unachemka. Melela ziko km 3. Kuna Melela Kololo, Melela Mlandizi na Melela nzuri. Zote zipo Moro, karibu na Doma.
Acha kuchafua kurasa ilimradi tu uonekane wewe ni mchangiaji hodari wa madaa wakati tangu umejiunga humu hujawahi kuchangia hoja yoyote ikaonekana ya maana kwa watu, soma hoja imeanzia wapi, pili tumia akili kufikiri kuwa endapo mleta mada atakuwa amekosea kidogo je anaamaanisha nini. si ajabu mleta mada ni abiria ambaye vituo vya njia hiyo havijui kwa ufasaha. sasa watu wanajidai kusahihisa saana. haya ngoja niwaulize swali. wiki iliyopita lori lilianguka kijiji cha FUFU mnapajua hapo ?
KyanaKyoMuhaya said:Mabasi yanayo toka mbeya kwenda Arusha si yanapitia Chalinze? Mlandizi lilikuwa linaenda wapi?
Mkuu unamaanisha YUTONG!!!!!!
Nadhani wanabadilisha dereva Moro, hana anayewza kuendesha gari Mbeya-Arusha kwa masaa wanayotumia, wanatoka mbeya saa 12, wanafika Arusha Saa 5 usiku