Ajali: Basi la Hood laua mmoja na kujeruhi 27

Hood haina historia ya kupata ajali hovyo hovyo ,ni moja ya magafi yasiyo na historia ya ajali kabisa,imetokea tu bahati mbaya,tuulize watu wa morogoro,
 
hizo gari zimechoka

Kwa Hood BIG NO. Hawa jamaa wanajali sana huduma kwa magari yao. Wana gereji yao kubwa pale Morogoro, ambapo magari ya Mbeya Arusha lazima yapite hapo kukaguliwa kabla hayajaendelea na safari zake za Mbeya/Arusha. Na kama gari ni bovu basi mnabadilishiwa hapo. Angalau hawa wanajitahidi
 
Nadhani wanabadilisha dereva Moro, hana anayewza kuendesha gari Mbeya-Arusha kwa masaa wanayotumia, wanatoka mbeya saa 12, wanafika Arusha Saa 5 usiku

Hapo kwenye redi, mkuu nimesafiri sana na Hood mby-arusha, mara nyingi dereva anakua 1 mby-ars, believe me.
 
Hood haina historia ya kupata ajali hovyo hovyo ,ni moja ya magafi yasiyo na historia ya ajali kabisa,imetokea tu bahati mbaya,tuulize watu wa morogoro,
Labda huna historia sahihi ya HOOD. Magari haya yanapata ajali kila mara na kibaya zaidi wahanga wa hizi ajali halipwi chochote na aidha Hood mwenyewe wala Insurance company . Binafsi Ninazo taarifa timilifu.
 
Back
Top Bottom