Basi Kampuni ya Abood lapata ajali, hakuna madhara yoyote kwa abiria

wakukurupuka1

JF-Expert Member
Feb 17, 2023
525
1,187
Basi la kampuni hilo linafanya safari zake kati ya Mbeya - DSM limepata ajali leo maeneo ya Mikumi wakati likitokea Mbeya.

Chanzo cha ajali ni mwendokasi wa basi la Abood na dereva kushindwa kulimudu gari ilo lililopelekea kugonga basi jingine kwa nyuma.

Madhara kwa abiria
Hakuna madhara yoyote kwa abiria na watumiaji wengine wa maeneo yao.

2E9D433C-93A5-4495-87CE-E1BD55EA835D.jpg

86306CBE-B936-413D-B167-DAA6B0A7870D.jpg

9FDE1F46-F827-4C98-AECB-2B9B707D7B56.jpg
 
Katika kipindi.cha.miezi ajal zimekuwa zingiongezeka kwa kwa Kasi Sana halafu hakuna hatua zinachukuliwa katika ajali zinatokea asilimia 97 zinasabishwa na uzembe madereva mamlaka zinachukua hatua gani wakati baadhi zinapoteza wapendwa na familia kuwachwa bila baba au Mama ambao pengine familia zao ziliwategemea Sana

Hatua gani zinachukuliwa kupunguza ajali
Na hata malaka yoyote inaongelea ajali au hatua za kunusuru maisha wa safiri nchin
 
K
Basi la kampuni hilo linafanya safari zake kati ya Mbeya - DSM limepata ajali leo maeneo ya Mikumi wakati likitokea Mbeya.

Chanzo cha ajali ni mwendokasi wa basi la Abood na dereva kushindwa kulimudu gari ilo lililopelekea kugonga basi jingine kwa nyuma.

Madhara kwa abiria
Hakuna madhara yoyote kwa abiria na watumiaji wengine wa maeneo yao.

View attachment 2712747
View attachment 2712748
Abood bus bado ipo?!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom