Ajali: Basi kampuni ya Katarama na Libanika (Tanzanite)

Hiki kitengo cha polisi kinachosimamia barabara kibinafsishwe tu kwa North Korea.
North Korea mbali sana mkuu wapewe Wajeda kwa kipindi cha mpito miezi sita tu ajali itabaki stori afande Fortunatus Musilim alijitahidi sana kupambana na madereva vichwamaji

Kamanda wa sasa yuko bize kuhakiki Leseni za udereva na vyeti vya vyuo vya udereva badala kwenda site kuona jinsigani ya kupambana na madereva wenye vyeti wanavyokimbizana barabarani
 
Ni kweli Mkuu, ila wenzako si wataku mind 😅
 
Kuruhusu buses kusafiri Usiku tulisema humu ni jambo litaumiza wengi.

Uzembe barabarani utaongezeka ajali zitakuwa nyingi vifo vingi.

Taasisi husika iliangalie hili jambo kwa jicho la tatu kama sivyo tengenezeni reli watu wasafiri kwa train nukta.
Kwani ajali hii imetokea usiku?
 
Hii kampuni ndio Ile imefungiwa kuondoka manane ya usiku

Polisi wana kesi ya kujibu kama ni hivyo
 
Uendeshaji wa kitoto, wapokonywe leseni
 
Kuruhusu buses kusafiri Usiku tulisema humu ni jambo litaumiza wengi.

Uzembe barabarani utaongezeka ajali zitakuwa nyingi vifo vingi.
Labda ni mpango wa siri wa mamlaka kushusha idadi isizidi Mil 60
 
Kuruhusu buses kusafiri Usiku tulisema humu ni jambo litaumiza wengi.

Uzembe barabarani utaongezeka ajali zitakuwa nyingi vifo vingi.

Taasisi husika iliangalie hili jambo kwa jicho la tatu kama sivyo tengenezeni reli watu wasafiri kwa train nukta.

Hizo basi zote za saa 12
 
Asante kwa taarifa Mzee wa 'the last destination ' unaripoti majanga tu....
NB: hata ukiripoti mambo yenye furaha bado watu watacomplain usijar,this is Africa.

Asante sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…