wakukurupuka1
JF-Expert Member
- Feb 17, 2023
- 525
- 1,211
Ni yuleyule😕😕 ripota wetu wa NF 🤔🤔🤔?Wewe huwa unasuburi kuripoti ajali tu?
Mtu mweusi hawezi kufanya jambo mpaka asimamiwe. Sisi bado sana kuwa watu tuko hatua za minyama ya mwituni. Ni wazungu wakulaumiwa kuturusha hatua za kuelekea kuwa watu.Kuruhusu buses kusafiri Usiku tulisema humu ni jambo litaumiza wengi.
Uzembe barabarani utaongezeka ajali zitakuwa nyingi vifo vingi.
Taasisi husika iliangalie hili jambo kwa jicho la tatu kama sivyo tengenezeni reli watu wasafiri kwa train nukta.
Atakuwa dereva huyuWewe huwa unasuburi kuripoti ajali tu?
Kuruhusu buses kusafiri Usiku tulisema humu ni jambo litaumiza wengi. Uzembe barabarani utaongezeka ajali zitakuwa nyingi vifo vingi.
Taasisi husika iliangalie hili jambo kwa jicho la tatu kama sivyo tengenezeni reli watu wasafiri kwa train nukta.
Usikufuru uumbaji MkuuBado nalalamika na Mungu kwanini aliumba mtu mweusi kiumbe mjinga, mbinafsi anayezidiwa akili na pomboo.
Abiria hawa wadanganyika au unazungumzi wepi?Hao abiria wanakuaga wapii had wanashuhudia hizo league uchwara?
Inatia hasira sana aisee.Usikufuru uumbaji Mkuu
Sisi weusi kinachotugharimu ni kukosa Ustaarabu tu, yaani tukifanikiwa kustaarabika mambo mengi yataenda.
Mfano umeenda benki mmepanga foleni, wanasema first in ....first out.
Mungu atusaidie tupate kujitambua