Ajali! Arusha express yapasuka tairi na kupinduka

Ajali! Arusha express yapasuka tairi na kupinduka

Lilikuwa likitoka dom au Ar?
Mkuu, hili basi ni lile la kutoka Dodoma kwenda Arusha. Sijaliona lakini mimi mwenyewe leo nimepanda lile la kutoka Arusha kwenda Dodoma, na tumefika salama kabisa, na sasa niko Chako ni Chako.

Natoa pole nyingi sana kwa wote waliopata ajali. Mungu awarejeshee afya zenu kwa haraka iwezekanavyo.
 
Hili lilikua linatoka dom to arusha to moshi. Rangi yake ni ya orange. Linasifika kwa mwendo kasi na wenzake kina coastline wametupita kama tumesimama mi nlikua kwa sharon mdogomdogo kama harusi.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
poleni sana majeruhi kwani mngu atawasaidia nahao walie jeruhiwa mngu aliye wasaidia ndiye atakae waponya msife moyo ndugu zangu
 
Back
Top Bottom