Ajabu: Star TV ni ya mwanaccm lakini ni huru Kuzidi TBC ya Umma!

chikutentema

JF-Expert Member
Dec 10, 2012
7,695
4,949
Huu ndio ukweli, vyombo ya habari vya umaa yaani Redio, Tv na magazeti vinatumika kama vinamilikiwa na chama.

Katika nchi yenye kuimba Demokrasia ya kweli ni tatizo sana na haikubariki kabisa.

''Mfumo wowote unatunga sheria kandamizi au kuweka mazingira yasiyonauwiano sawa ktk mfumo wa vyama vingi, hugeuka shubiri kwa chama kilichopo kinapopoteza dola''
 
Hata kama wangezionyesha ni Watu wachache sana wangeona sababu saivi hakuna mtu mwenye muda na hiyo TV ya mapanya buku.
 
Huu ndio ukweli, vyombo ya habari vya umaa yaani Redio, Tv na magazeti vinatumika kama vinamilikiwa na chama.
Katika nchi yenye kuimba Demokrasia ya kweli ni tatizo sana na haikubariki kabisa.
''Mfumo wowote unatunga sheria kandamizi au kuweka mazingira yasiyonauwiano sawa ktk mfumo wa vyama vingi, hugeuka shubiri kwa chama kilichopo kinapopoteza dola''

Mkuu ungeweka wazi tu kwamba uko CHADEMA!!
 
Back
Top Bottom