Ajabu na kweli: Babu wa Loliondo kwenye Facebook!!!!!!!!!

Binafsi, siamini kama babu anajua hata kutumia internet, pia najua babu yuko busy sana na kazi zake binafsi.
Ila kuna mtu ameamua ajidai yeye ni Babu wa Loliondo kwa sababu zake binafsi.
Tuwe makini tutumiapo mitandao ya kijamii.
 
Babu anahujumiwa! Bila shaka kuna watu wanataka kujineemesha hapo
 
search mchungaji ambilikile kwenye facebook utaona, mi mwenyewe nlidhani maskhara, nikajionea mwenyewe
 
Mwisho wake kuwa kwenye usokitabu ni saa nne asubuhi ya tarehe 01/04/2011.
 
ndo maana nasema babu anahujumiwa. Huyo mtu hayuko Tz anayejidai ni babu wa Loliondo
 
Happy fools day... Cjadanganyka kwa hlo

watu wengi watasema ni foolday lakini sio hivyo,huyu babu sio babu kama unavyodhania ni babu msomi ameshawahi kusoma misri huyo babu.hivo alivojipritend sio kama watu wanavyodhani,ni mpango maalum wa kanisa la kkkt,ushahdi wa kwanza ni mgao wa mapato chunguza,la pili angalia jins anavyodai alivyooteshwa,tatu refers to the face book
 
Jamani acheni ushamba, kwani lazima huo ukurasa awe anaandika yeye mwenyewe? Hata mimi hapa naweza anzisha ukurasa wa Kikwete hata 5 kama nataka. Sioni cha ajabu hapo ; mtu kaamua kumtangaza babu kwa kujifurahisha , babu hausiki kwa namna yeyote na huo ukurasa. Hata wewe unayeshangaa lete picha yako nitakuweka kama msaidizi wa babu.
 
Babu wa Loliondo yuko kwenye facebook.
Bofya hapa: Facebook Mobile

wewe ni senior expert member usijiingize kwenye mambo yatakayofanya wana jf wasikuamini. Huyo babu sidhani hata kama anajua hiyo facebook mana yake ni nini. jana tumeona Obama ameshika kikombe cha babu je unataka utuambie obama kafika Loliondo?
 
kwani babu si alikuwa mchungaji?iweje mseme hajui net!au kisa anaishi samunge

Makubwa ina maana akiwa mchungaji automatical anajua net? Hainingii akilini. Internet haina uhusiano kbs na vyeo au sifa nyingne za kidunia.
 
Back
Top Bottom